About


Huu ni mtandao wa Kiswahili wenye lengo la kutoa elimu kwa wazungumzaji wote wa lugha adhimu ya Kiswahili ndani na nje ya mipaka ya Tanzania katika Afya, Chakula na Lishe, Ujasiriamali, kilimo na Ufugaji na hata kuboresha Mahusiano katika jamii yetu.